Monday, March 25, 2013

On 2:06 PM by Shambani Solutions   No comments
Mheshimiw Pasian Siay - Diwani wa  Kata ya Bonga(CCM)
Mjadala huo umetokea punde tu baada ya Mh diwani kuandika katika wall yake kupitia mtandao wa BABATI FORUM maelezo yaliyoonyesha kusikitishwa kwake na biashara ya uuzaji wa mahindi yakiwa shambani inayofanywa na wanachi wengo wa babati hasa wale wa kata yake ya bonga.
Ndg pasian aliandika hv…..uuzaji wa mahindi mabichi shambani imeshika kasi kwa maeneo mengi ya babati. napenda kutoa rai yangu kwa wakazi wa babati...hasa maeneo ya bonga, kuwa makini na biashara hii. kwa mikoa kama mitano ya kanda ya kati na baadhi ya maeneo niliyoita katika safari yangu ya takriban siku mbili, hali ya chakula si nzuri. tusifarijike kwa mahindi kuwa na majani mazuri.
Wakichangia hoja hiyo wadau mbalimbali wa mtandao wa BABATI FORUM wapo walioonyesha kukubaliana nae na wapo waliotofautiana nae, mmoja wa wachangiaji alilalamikia juu ya ushuru wa tsh 1000 anaotozwa mkulima anapotaka kupeleka mazao yake sokoni na kudai inachangia sana kumrudisha nyuma mkulima.
 Aliandika abdon ‘mkulima akipita geti la shambani anadaiwa kodi 1,000 hasaidiwi mbolea wala nn akiuza anapewa kero this govt for real is pissing me off nasema ukweli mi si mnafiki
Mchangia maada mwingine aliyefahamika kwa jina la Edwin yeye alienda mbali zadid na kuhoji juu ya mambo kadhaa lama alivyoandika hapa chini…kuna mambo kadhaa ya kujiuliza kuhusu huyu mkulima ndipo ajadiliwe.1/je mkulima huyu ndiye mmiliki wa shamba husika??kama ndivyo basi tujue alilima kwa ajili yachakula au kuuza yakiwa mabichi ili aweze kuexploit profit kwa mda huo ndipo afanye mambo mengine??..........2/je mkulima huyu ameforecast vipi mabadiliko ya hali ya hewa mpaka akaamua kuuza mahindi yote yakia mabichi???inawezekana mkulima kaona hali ya hewa inaweza kuwa mbaya na mahindi yakaharibika kabla ya kuvunwa ndipo akaamua hilo kwa hiyo asilaumiwekwa maamuz hayo as hata wakat anataka kulima hakushauriwa.........3/je mkulima huyu amefanya DIVERSIFICATION KWA EXTENT GANI???Kuna uwezekano mkulima husika analima sehem mbalimbali na hivyo bas kuna maeneo yawezekana aliamua kulima kwa ajili ya mahindi mabichi ili ajipate kipato cha kuhudumia mashamba mengine.........lastly bt not least ni je mkulima huyo na SINGLE CROP GROWER???Inawezekana amelima mahindi then ayavune mabichi ili apande tena maharage sasa hapo ana kosa gan????WE NEED TO ANALYSE TINGS INDUCTIVELY AND NOT DEDUCTIVELY AS ALWAYS SOME DO.ila ni mtazamo tu
Kwa mjadala huuu Blogger anapenda kuwashukur wachangiaji wote wanaoendelea kuchangia maada na kuomba waendelee kuchangia zaidi ili kupata solution juu ya hili swala….
Fuatilia mjadala kupitia link hii hapa chini…….http://www.facebook.com/groups/110474309051890/397172907048694/?ref=notif&notif_t=group_comment_reply

0 comments:

Post a Comment