Kutokana na tafiti mbalimbali ziliofanywa imegundulika kuwa wakulima wengi wanauza mazao yao kwa bei ya chini hasahasa katika msimu wa mavuno kutokana na kutokuwa na taarifa sahihi za masoko ya bidhaa zao

Shamban solutions kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa kilimo tutakuwa tunakuletea bei za mazao kutoka katika mikoa mbalimbali ya tanzania na afrika mashariki kwa ujumla 
                        - Bei muafaka kwa Wakati muafaka -

BEI MPYA ZA MAZAO KUTOKA KATIKA MIKOA MBALIMBALI YA TANZANIA(Tshs/kg))
TAREHE 26/12/2013 

Mkoa
Maharage     
Mahindi     
Mchele     
Mtama   
 Ngano              
Ulezi              
Viazi Mviringo 
Arusha
1100 -1450
500 - 520
1100-1500
550 - 600
700 - 850
980 - 1000
700 - 750

Babati
1400 - 1450
450
1300-1500
350 - 420
750 - 800
900 - 950
650 - 1000

Bukoba
1300 - 1600
680 - 700
1000-1100
450 - 500
900 - 1200
1100 -1200
560 - 600

Dsm
1300 - 1800
480 - 520
800 - 1300
600 - 700
1000 -1200
1200 -1500
500 - 650

Dodoma
1300 - 1500
540
1300-1500
540

1000 -1500
400 - 600

Geita
1400
720
1000
650

1400
600

Iringa
1000 - 1400
360 - 370
1200-1500
800
700 - 1000
1000 -1200
500

Kigoma
1500
670
1000-1200
1500

1500
800 - 1000

Lindi
1400 - 1700
550 - 600
1100-1400
500

1200 -1700
620

Mbeya
950 - 1300
480 - 500
900 - 1300

800 - 1000
750 - 900
250 - 260

Morogoro
1400 - 1500
480 - 560
1000-1300
1200
1300
1500
360 - 410

Moshi
1400
510
1300

1200
1700
1000

Mpanda
1000 - 1700
500
800


800
1500

Mtwara
1200 - 1600
550 - 570
1100-1200
1200
1200 - 1500

800

Musoma
1300
760
1280
680

1350
1250

Mwanza
1400 - 1500
650 - 700
950- 1000
1200 - 1500
700
1400
550

Njombe
1200
550
1800

700 - 750
1200
350

Shinyanga
1400 - 1500
500
1000-1200
350 - 375
1000 -1200
1300
530 - 590

Singida
1300 - 1600
480 - 500
1000-1200
500 - 540

900 - 950
800 - 850

Songea
900 - 1000
320
1000-1800


1000
600

Sumbawanga
900 - 1800
390 - 420
1000-1200

720 - 750
900 - 1050
650 - 750

Tabora
1500 - 1700
540 - 550
850 - 1000
1000
1200
1000
700

Tanga
1200 - 1300
490 - 500
1200-1250
550 - 600
900 - 950
1300
500 - 560
Published by Shambani Solutions Tanzania

29 comments:

 1. Mbona bei ziko blank? wekeni basi!

  ReplyDelete
 2. Hallow cheki bei za mazao katika mikoa mbalimbali kama ilivyoorozeshwa hapo juu

  ReplyDelete
 3. Wee bana vipi banaa! Bei zako hata husemi ni za mwezi gani au mwaka gani. Na hizo namba hapo juu ni shilingi au ni kilo au tani za mazao? mimi sijaelewa bana.

  ReplyDelete
 4. ufafanuzi wa bei unahitajika kama mchangiaji hapo juu alivyouliza

  ReplyDelete
 5. Jamani mnataka ufafanuzi gani zaidi wakati kila kitu kinajieleza wazi? Mbona tarehe na mwezi ameweka jamani, 26/12/2013.

  ReplyDelete
 6. Jamani acheni uvivu wa kusoma na kuchambua. Ukiandikiwa kichwa kama hiki unahitaji ufafanuzi upi?
  BEI MPYA ZA MAZAO KUTOKA KATIKA MIKOA MBALIMBALI YA TANZANIA(Tshs/kg))
  TAREHE 26/12/2013

  I salute you. Kukusanya takwimu za bei za mazao mbalimbali Tanzania nzimza sio kazi ndogo. Hongera na kaza buti.

  ReplyDelete
 7. itakua poua sana ukiyusaidia na wakulima wa matunda kujua bei ili tusiibiwe na walanguzi tafadhari\

  ReplyDelete
 8. J Mwambola. Big up mkuu kwa kazi nzuri, Daniel Nyoki na Juma Bruno wanaelewa

  ReplyDelete
 9. Good Job,,,, Vijana 2tumie Fursa ya Kilimo kujikwamua kiuchumi... Kilimo ni miongoni mwa njia halali zinazoweza kukupatia Pesa za mkupuo... Tujaribu, inawezekana kabisa!

  ReplyDelete
 10. Kazi nzuri sana unayofanya kaka, ila naomba kueleweshwa kuhusu hizi bei ni za jumla au reja reja?

  ReplyDelete
  Replies
  1. hiyo ni bei ya soko kwa kipindi hiki, lakini kama ilivyo biashara inaweza utakapohitaji mzigo wa jumla bila shaka bei itashuka muhimu ni mazungumzo tu kati ya mteja na mwenye mzigo kwa masokoni mara nyingi ni kati ya mnunuzi na Dalali.....natumai nimejibu swali lako

   Delete
 11. habari,naweza kupata bei ya ufuta kwa gunia la kilo mia

  ReplyDelete
 12. bei yake ni Tsh 2200 kwa kilo moja hivyo zidisha kwa ujazo wa gunia...natumai umenielewa

  ReplyDelete
 13. Bwana Shambani Solutions,
  Tarehe za bei uliyotaja hapo juu awali ni 26/12/2013.. sijui kama ulimaanisha 2012.. pls correct me if I'm wrong.. Natanguliza shukrani..

  ReplyDelete
 14. ninyi wapumbavu sana, kwa nini hamfanyi updates kwenye blog yenu

  ReplyDelete
 15. hello;
  bei mbona za mwaka jana?

  ReplyDelete
 16. Ndo tangu 2013 bei zipo hivi?

  ReplyDelete
 17. Nimelipenda sana hili wazo zuri...naomba liwe endelevu, bei za mwaka huu wakuu...!

  ReplyDelete
 18. Ntapata Shida Kuelewa vigezo vya mpangilio wa izi bei,zinznichanganya pale ninapo ona bei ya Mtama Morogoro ni tsh 1200 na ya dsm ni tsh 600-700,hailet maana katika ili.

  ReplyDelete
 19. update info ziendane na wakati uliopo

  ReplyDelete
 20. usikate tamaa tupe bei ya vyakula mara kwa mara inatusaidia watu wengi

  ReplyDelete
 21. try to update the table with time, since December 2013

  ReplyDelete
 22. please mr shambani
  can you update the table

  ReplyDelete
 23. If you had financial problems, then it is time for you to smile. You only need to contact Mr. Benjamin with the amount you wish to borrow and the payment period that suits you and you will have your loan in less than 48 hours. I just benefited for the sixth time a loan of 700 thousand dollars for a period of 180 months with the possibility of paying before the expiration date. Make contact with him and you will see that he is a very honest man with a good heart.His email is lfdsloans@lemeridianfds.com and his WhatsApp phone number is + 1-989-394-3740

  ReplyDelete