Saturday, May 30, 2015

On 3:24 AM by Shambani Solutions   No comments
Kitunguu kilicholimwa kwa kutumia Drip irrigation.(matone)

Kitunguu Kikiwa shambani
 VITUNGUU
  • Ni zao la bustani au mboga mboga 
  • Hustaimili hali ya hewa ya kitropiki
  • Hustawi zaidi kwenye kanda za Ziwa, Kati, Kusini na Kaskazini 
  • Hukua na kuvunwa ndani ya miezi minne
  • Hustaimili magonjwa kama fangasi and wadudu
  • Hulimwa kipindi chote cha mwaka ila kwenye maeneo ya mvua za muda mfupi mfano Singida (Rundugai)
  • Ni rahisi kuzalisha zao hili kwa njia ya umwagiliaji wa matone au hata kwa mvua
  • Endapo litalimwa kitaalamu na kuzingalia mafunzo ya ugani, katika ekari 1 unaweza kuvuna kati ya tani 15- 20
  • Hakikisha unapata mbegu chotara kwa ubora zaidi  
Kwa taarifa zaidi bonyeza hii link....https://www.facebook.com/BaltonTanzania

0 comments:

Post a Comment