Wednesday, August 7, 2013

On 12:56 AM by Shambani Solutions   No comments
Shamba Linauzwa Morogoro
Shamba liko bwawani, morogoro
Shamba lipo km 1 kutoka morogoro road mkono wa kulia kama unatokea dar es salaam
Shamba lina acre 30

VITU VILIVYOMO SHAMANI

Shamba lina mitiki 100
Kuna mbuzi 70
Nyumba ya kulala
Pia kuna miembe, migomba, michungwa na milimao
Shamba lipo katika hali nzuri sana na limepimwa na lina hati kamili
Bei million 30 mazungumzo yanaruhusiwa

kwa mawasiliano zaidi 0719 788 949 - 0789 547 574

0 comments:

Post a Comment