Shambani Solutions Tanzania kwa
kushirikiana na Taasisi ya Tanzania Graduate Farmers Association (TGFA), Agri-ProFocus
Tanzania, Netherlands Development Organization(SNV), IBUTTI na 4-H Tanzania tuliweza kufanikisha kufanyika kwa kongamano la Vijana katika kilimo Biashara Mkoa wa Manyara
Kongaman lililoshirikisha vijana kutoka
maeneno mbalimbali ya Mkoa. Mgeni rasmi alikuwa Mkurugenzi wa Mji wa Babati
ndugu Omary Mkombole
Dhumuni ya kongamano hili ni
kuwahamasisha na kuwakutanisha vijana mbalimbali wanaojishughulisha na kilimo
katika Mkoa wa Manyara na Mikoa ya Jirani, kujadili fursa mbalimbali zilizopo
katika sekta ya kilimo pamoja na kuangalia changamoto zinazokwamisha vijana
kushiriki katika kilimo.
|
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ndugu Omary Mkombole akiwa na mmoja wa waliofanikisha Kongamano Hilo kutoka Taasisi ya Maendeleo ya watu wa uholanzi Ndugu TOM |
|
Washiriki wakiwakilisha makundi mbalimbali ya Vijana walihudhuria Kongamano |
|
Mkurugenzi wa Mji wa Babati Liyevaa Koti Jeusi akikagua bidhaa mbalimbali zilizoletwa na vijana katika maonyesho |
|
Muwakilishi kutoka ofisi ya MKuu wa Mkoa Injinia Norbert Kyomoshora akiwasirisha topic iliyohusu fursa mbalimbali za kilimo zilizopo katika mkoa wa Manyara |
|
Wadau wakifuatila kwa makini sana |
|
Nyuso za Furaha kutoka kwa baadhi ya washiriki wa kongamano hilo - Kutoka kushoto Mwambola johnson, Tom, Deo Haule na juma Ngomuo |
|
Mkurugenzi akiwaongoza washiriki mbalimbali kuangalia bidhaa zinazozaliwa na Vijana mbalimbali |
0 comments:
Post a Comment