Friday, June 7, 2013

On 1:49 AM by Shambani Solutions   No comments
 Mara nyingi tumekuwa tukisisitiza juu ya matumishi ya mbolea za asili (organic fertilizer) badala ya hz mbolea za kisasa. Angalia tofauti kati ya tunda lilikuzwa kwa mbolea ya asili na hili la mbolea ya kisasa hata rangi tu zinatofautiana na ukibahatika kutest hata radha zake ni tofauti kabisa.

WITO KWA WAKULIMA TUTUMIE SANA ORGANIC FERTILIZER ILI TUJENGE JAMII YENYE AFYA NA PIA TUWEZE KUTMIA ARDHI ZETU KWA MUDA MREFU ZAIDI

0 comments:

Post a Comment