Kutokana na tafiti mbalimbali ziliofanywa imegundulika kuwa wakulima wengi wanauza mazao yao kwa bei ya chini hasahasa katika msimu wa mavuno kutokana na kutokuwa na taarifa sahihi za masoko ya bidhaa zao
Shamban solutions kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa kilimo tutakuwa tunakuletea bei za mazao kutoka katika mikoa mbalimbali ya tanzania na afrika mashariki kwa ujumla
- Bei muafaka kwa Wakati muafaka -
Published by Shambani Solutions Tanzania
- Bei muafaka kwa Wakati muafaka -
BEI MPYA ZA MAZAO KUTOKA KATIKA MIKOA MBALIMBALI YA TANZANIA(Tshs/kg))
TAREHE 26/12/2013
Mkoa
|
Maharage
|
Mahindi
|
Mchele
|
Mtama
|
Ngano
|
Ulezi
|
Viazi Mviringo
| |
Arusha
|
1100 -1450
|
500 - 520
|
1100-1500
|
550 - 600
|
700 - 850
|
980 - 1000
|
700 - 750
| |
Babati
|
1400 - 1450
|
450
|
1300-1500
|
350 - 420
|
750 - 800
|
900 - 950
|
650 - 1000
| |
Bukoba
|
1300 - 1600
|
680 - 700
|
1000-1100
|
450 - 500
|
900 - 1200
|
1100 -1200
|
560 - 600
| |
Dsm
|
1300 - 1800
|
480 - 520
|
800 - 1300
|
600 - 700
|
1000 -1200
|
1200 -1500
|
500 - 650
| |
Dodoma
|
1300 - 1500
|
540
|
1300-1500
|
540
|
1000 -1500
|
400 - 600
| ||
Geita
|
1400
|
720
|
1000
|
650
|
1400
|
600
| ||
Iringa
|
1000 - 1400
|
360 - 370
|
1200-1500
|
800
|
700 - 1000
|
1000 -1200
|
500
| |
Kigoma
|
1500
|
670
|
1000-1200
|
1500
|
1500
|
800 - 1000
| ||
Lindi
|
1400 - 1700
|
550 - 600
|
1100-1400
|
500
|
1200 -1700
|
620
| ||
Mbeya
|
950 - 1300
|
480 - 500
|
900 - 1300
|
800 - 1000
|
750 - 900
|
250 - 260
| ||
Morogoro
|
1400 - 1500
|
480 - 560
|
1000-1300
|
1200
|
1300
|
1500
|
360 - 410
| |
Moshi
|
1400
|
510
|
1300
|
1200
|
1700
|
1000
| ||
Mpanda
|
1000 - 1700
|
500
|
800
|
800
|
1500
| |||
Mtwara
|
1200 - 1600
|
550 - 570
|
1100-1200
|
1200
|
1200 - 1500
|
800
| ||
Musoma
|
1300
|
760
|
1280
|
680
|
1350
|
1250
| ||
Mwanza
|
1400 - 1500
|
650 - 700
|
950- 1000
|
1200 - 1500
|
700
|
1400
|
550
| |
Njombe
|
1200
|
550
|
1800
|
700 - 750
|
1200
|
350
| ||
Shinyanga
|
1400 - 1500
|
500
|
1000-1200
|
350 - 375
|
1000 -1200
|
1300
|
530 - 590
| |
Singida
|
1300 - 1600
|
480 - 500
|
1000-1200
|
500 - 540
|
900 - 950
|
800 - 850
| ||
Songea
|
900 - 1000
|
320
|
1000-1800
|
1000
|
600
| |||
Sumbawanga
|
900 - 1800
|
390 - 420
|
1000-1200
|
720 - 750
|
900 - 1050
|
650 - 750
| ||
Tabora
|
1500 - 1700
|
540 - 550
|
850 - 1000
|
1000
|
1200
|
1000
|
700
| |
Tanga
|
1200 - 1300
|
490 - 500
|
1200-1250
|
550 - 600
|
900 - 950
|
1300
|
500 - 560
|
Published by Shambani Solutions Tanzania
Mbona bei ziko blank? wekeni basi!
ReplyDeleteHallow cheki bei za mazao katika mikoa mbalimbali kama ilivyoorozeshwa hapo juu
ReplyDeleteWee bana vipi banaa! Bei zako hata husemi ni za mwezi gani au mwaka gani. Na hizo namba hapo juu ni shilingi au ni kilo au tani za mazao? mimi sijaelewa bana.
ReplyDeleteufafanuzi wa bei unahitajika kama mchangiaji hapo juu alivyouliza
ReplyDeleteJamani mnataka ufafanuzi gani zaidi wakati kila kitu kinajieleza wazi? Mbona tarehe na mwezi ameweka jamani, 26/12/2013.
ReplyDeleteJamani acheni uvivu wa kusoma na kuchambua. Ukiandikiwa kichwa kama hiki unahitaji ufafanuzi upi?
ReplyDeleteBEI MPYA ZA MAZAO KUTOKA KATIKA MIKOA MBALIMBALI YA TANZANIA(Tshs/kg))
TAREHE 26/12/2013
I salute you. Kukusanya takwimu za bei za mazao mbalimbali Tanzania nzimza sio kazi ndogo. Hongera na kaza buti.
itakua poua sana ukiyusaidia na wakulima wa matunda kujua bei ili tusiibiwe na walanguzi tafadhari\
ReplyDeleteJ Mwambola. Big up mkuu kwa kazi nzuri, Daniel Nyoki na Juma Bruno wanaelewa
ReplyDeletepamoja sana kaka....nashukuru
DeleteHongera sana ni kaxi nzuriii
ReplyDeletethanks
DeleteGood Job,,,, Vijana 2tumie Fursa ya Kilimo kujikwamua kiuchumi... Kilimo ni miongoni mwa njia halali zinazoweza kukupatia Pesa za mkupuo... Tujaribu, inawezekana kabisa!
ReplyDeleteKazi nzuri sana unayofanya kaka, ila naomba kueleweshwa kuhusu hizi bei ni za jumla au reja reja?
ReplyDeletehiyo ni bei ya soko kwa kipindi hiki, lakini kama ilivyo biashara inaweza utakapohitaji mzigo wa jumla bila shaka bei itashuka muhimu ni mazungumzo tu kati ya mteja na mwenye mzigo kwa masokoni mara nyingi ni kati ya mnunuzi na Dalali.....natumai nimejibu swali lako
Deletehabari,naweza kupata bei ya ufuta kwa gunia la kilo mia
ReplyDeletebei yake ni Tsh 2200 kwa kilo moja hivyo zidisha kwa ujazo wa gunia...natumai umenielewa
ReplyDeleteBwana Shambani Solutions,
ReplyDeleteTarehe za bei uliyotaja hapo juu awali ni 26/12/2013.. sijui kama ulimaanisha 2012.. pls correct me if I'm wrong.. Natanguliza shukrani..
ninyi wapumbavu sana, kwa nini hamfanyi updates kwenye blog yenu
ReplyDeletehello;
ReplyDeletebei mbona za mwaka jana?
Ndo tangu 2013 bei zipo hivi?
ReplyDeleteNimelipenda sana hili wazo zuri...naomba liwe endelevu, bei za mwaka huu wakuu...!
ReplyDeleteNtapata Shida Kuelewa vigezo vya mpangilio wa izi bei,zinznichanganya pale ninapo ona bei ya Mtama Morogoro ni tsh 1200 na ya dsm ni tsh 600-700,hailet maana katika ili.
ReplyDeleteupdate info ziendane na wakati uliopo
ReplyDeleteusikate tamaa tupe bei ya vyakula mara kwa mara inatusaidia watu wengi
ReplyDeletetry to update the table with time, since December 2013
ReplyDeleteUPDATE TABLE
ReplyDeleteUPDATE TABLE PLEASE
ReplyDeleteplease mr shambani
ReplyDeletecan you update the table
If you had financial problems, then it is time for you to smile. You only need to contact Mr. Benjamin with the amount you wish to borrow and the payment period that suits you and you will have your loan in less than 48 hours. I just benefited for the sixth time a loan of 700 thousand dollars for a period of 180 months with the possibility of paying before the expiration date. Make contact with him and you will see that he is a very honest man with a good heart.His email is lfdsloans@lemeridianfds.com and his WhatsApp phone number is + 1-989-394-3740
ReplyDeleteNipe Bei ya vitunguu maji ya Leo shambani
ReplyDeleteNaomba namba ya dalali wa viazi
ReplyDeleteNisawa ndungu zangu bei nisaw ...tarehe ziko saw...msome vizuri mtaelewa...!!!
ReplyDeleteSafi
ReplyDelete