Friday, July 18, 2014
On 1:19 AM by Shambani Solutions 4 comments
![]() |
PIUS AKIWA KAZINI |
GREENHOUSE FARMING AT MKURANGA:
Harvesting the very first tomatoes after 3 months of sowing. Will be harvesting
an average of 400 to 800 kgs every week for coming 8 to 10 months
Mmiliki wa hii sasa anapanga kuacha
kazi kabisa ili awekeze mda mwingi katika shughuli zake za kilimo. Anategemea
kuvuna zaidi ya kilo 30,000 na anauza kwa bei ya chini kilo shs 1500. Huyu
kijana anaitwa Pius ……...future role model wa vijana katika kilimo………………KILIMO
KINALIPA JAMANI TUJIKITE
source:https://www.facebook.com/photo.php?fbid=10203545926104152&set=p.10203545926104152&type=1&permPage=1
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Naomba mnitafute nina technology ya kugraft nyanya kwenye ngogwe na faida yake ni kubwa kuliko
ReplyDeleteweka mawasilano tukutafute
Deletesafi ndugu yangu tunaweza kuwasiliana kupitia email hii...sonofmwambola@yahoo.com
ReplyDeleteUtaalamu wa greenhouse naupata wapi?
Delete