Thursday, April 24, 2014

On 3:32 PM by Shambani Solutions   2 comments
Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa Mbegu za mazao hapa nchini SEED CO imetoa elimu kwa wakulima wilayani Mbulu kuhusiana na ukilima bora wa mahindi, Kwa mbali unaona shamba darasa lililopo nyuma ya watu waliofika kupata elimu Shamba hili lililimwa na wataalamu wa kilimo kutoka Seed Co ili kuwa shamba darasa kwa wananchi wa Mbulu


WADAU WAKIELEZEA JUU YA MBEGU ZA DEEDCO
Wadau wakisikiliza maelezo ya wataalamu kutoka kampuni ya kuzalisha mbegu ya seedco

2 comments:

  1. Good post bro, We have to work harder to make sure we succeed in agriculture.

    ReplyDelete