Sunday, June 23, 2013

On 3:46 AM by Shambani Solutions   No comments
Ufugaji wa kuku ni sehemu ya miradi inayosaidiwa na TGFA
Je una bidhaa.unahitaji itafutiwe soko la uhakika? 

Je una mradi wa kilimo Biashara unahitaji kukutanishwa na wadau ili kupata USHAURI, KUUNGANISHWA NA WATOA MIKOPO au GRANTS

JE UNATAKA KUIMARISHA NA KUSHAURIWA JUU YA TEKNOLOJIA MBALIMBALI ZA KILIMO?

Je wewe ni mkulima na mfugaji msomi? Hata kama Familia yako ndio wakulima na wafugaji sasa huu ndo wakati wako.

Tuma sms kwa namba 0763846255  upate ushauri na maelekezo mbalimbali pia tutumie barua pepe kupitia tgfa_tz@yahoo.com,

Pia tembelea tovuti zetu zilizo tajwa hapo chini kwa upate taarifa zaidi www.graduatefarmers.org au www.apf-tanzania.ning.com, au www.shambanisolutions.blogspot.com

Tutakuunganisha na kufanyia kazi swali au ushauri wako.

KARIBUNI WOTE

0 comments:

Post a Comment