tag:blogger.com,1999:blog-6875966675370421464.post6701991574397611420..comments2024-03-23T19:30:14.680-07:00Comments on SHAMBANI SOLUTIONS: WADAU WA KILIMO WAIBANA SERIKALI JUU YA UANZISHWAJI WA BENKI YA WAKULIMAShambani Solutionshttp://www.blogger.com/profile/06842865147257264907noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-6875966675370421464.post-86909031785785098482013-08-30T00:01:11.299-07:002013-08-30T00:01:11.299-07:00yaani hiyo bank ni muhimu sana ikawepo wadau japo ...yaani hiyo bank ni muhimu sana ikawepo wadau japo kuna watu hawaitaki na wanatumia kivuli cha kuanza kutoa mikopo ya bei nafuu kwa wakulima ili pesa zote zipitie humoYouth in Agribusinesshttps://www.blogger.com/profile/04929550312831254714noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6875966675370421464.post-63145982910140538862013-01-26T12:02:34.992-08:002013-01-26T12:02:34.992-08:00ni kweli mdau na hilo ndo tatizo la msingi la taas...ni kweli mdau na hilo ndo tatizo la msingi la taasisi zetu za fedha haziwwamini sn wakulima hasa wadogowadogo hali inayopelekea kuzorota kwa kilimo nchiniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6875966675370421464.post-79657681291796107712013-01-22T00:58:06.523-08:002013-01-22T00:58:06.523-08:00Tatizo benki kama hiyo haitawasaidia wakulima wado...Tatizo benki kama hiyo haitawasaidia wakulima wadogo,itawajali wakulima wakubwaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6875966675370421464.post-12998589172212443632013-01-21T10:54:19.610-08:002013-01-21T10:54:19.610-08:00wananchi wakiwa wanafuatilia masuala yanayo wahusu...wananchi wakiwa wanafuatilia masuala yanayo wahusu hivi hata watendaji wataacha uvivu sababu watajua wasipofanya wataulizwaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6875966675370421464.post-44067096706315922022013-01-20T04:49:16.967-08:002013-01-20T04:49:16.967-08:00katika hili serikali ni lazima ihakikishe inaweka ...katika hili serikali ni lazima ihakikishe inaweka mazingira yatakayowawezesha wakulima kupata mikopo ktk taasisi za fedha ili waweze kukuza uzalishajiAnonymousnoreply@blogger.com